MABAO KADHAA
Kila gatuzi ni doa, kina Messi wamecheza.. Ni soni ya kuatua, mabenati mewabeza.. Mabao yameingia, dume gushi wamecheza.. Takwimu zimeonyesha, kuna mabao kadhaa..

MABAO KADHAA

By Marxie Douglas, Bungoma, Kenya Hii mekuwa skendo, mabao kufungwafungwa.. Kenya kote Ni vishindo, mipira kugongwagongwa.. Viroja hivi vitendo, vitoto vyapondwapondwa.. Takwimu zimeonyesha, kuna mabao kadhaa..   Tangu skuli zifungwe,kutokana…

Continue Reading MABAO KADHAA
BURIANI KEN WALIBORA
Nilikumbana na bingwa huyu kwa mara ya kwanza kupitia kitabu chake, Ndoto ya Amerika.

BURIANI KEN WALIBORA

NA HUSSEIN M KASSIM Kama ni machozi, basi yanitoka kapakapa Kama ni jitimai, sonono haliniishi Mawazo na fikra? Ni mkururo baada ya mwingine.   Tanzia ya kifo chake baba Kennedy…

Continue Reading BURIANI KEN WALIBORA
TWA TWA TWA
Vyuoni pia mchezo, kitaka alama bora

TWA TWA TWA

Na Hussein Kassim Husni Kazini ndicho kigezo, kuongeza mishahara Mabosi wana uwezo, kufanya twa kila mara Wanatiliwa vikwazo, walio kwenye ajira Twa twa twa ndio mchezo, twa hakika inakera  …

Continue Reading TWA TWA TWA