Hussein M. Kassim

Hussein M  Kassim ni ghulamu mwenye umri wa miaka ishirini na minne. Ni ashiki mkubwa wa lugha ashirafu ya kiswahili. Mapenzi yake kwa lugha hii yalianza kuota miche akiwa bado kwenye shule ya msingi. Amehitimisha Masomo yake ya shahada kwenye taaluma ya Afya ya Jamii (Bachelor of Science in community health) katika chuo kikuu cha Kiufundi Cha Mombasa.

Ni mpenzi wa vitabu anayepata amani na burudani humo. Hufanya bidii kusoma walau vitabu viwili kila mwezi. Hili limempa satua ya kuweza kuandika fasihi za kiswahili kila anaponafasika. Vile vile, ni mtetezi mkubwa wa lugha ya kiswahili.

BURIANI KEN WALIBORA

NA HUSSEIN M KASSIM Kama ni machozi, basi yanitoka kapakapa Kama ni jitimai, sonono haliniishi Mawazo na fikra? Ni mkururo baada ya mwingine.   Tanzia ya kifo chake baba Kennedy…

ULTIMATE TRUTH

BY Hussein Kassim “Son, tell me you like her!” These are words that do not seem to fade from my dad’s mouth. Not anytime soon. He keeps insisting that the…

TWA TWA TWA

Na Hussein Kassim Husni Kazini ndicho kigezo, kuongeza mishahara Mabosi wana uwezo, kufanya twa kila mara Wanatiliwa vikwazo, walio kwenye ajira Twa twa twa ndio mchezo, twa hakika inakera  …

KABLA SIJAOA

Kabla sijaoa, nitataka kuwa na hakika kuwa anafaa kweli. Nitataka kudadisi hulka zake kwa upana. Nimpitue, halafu nimweke sawa. Nimkunje, kisha nimkunjue. Nimvae, kisha nimvue. Nimwangushe, kisha nimwinue. Nimtege, halafu…

KENYA KUONGOZA KWA SAMPULI ZA SARATANI

Ifikapo mwaka 2030, Kenya itakuwa imepiga hatua nyingi za maendeleo. Miongoni mwazo ni miundo mbinu ya kisasa kama vile reli za umeme, majumba ya kifahari na barabara kuu zenye hadhi.…

ULEMAVU WA MOYO

Na Hussein Kassim “Usimfanyie masihara kwa huo upofu wake! Haipendezi…” maneno yalimtoka Latifa Baridi ambaye alielekea kuchoshwa na kuchushwa na kasumba ya Ali Baya. Rafiki yake wa dhati.  Yapata ni…