Kiswahili

UJANA KAMA UKUNGU

Na Ayieko Jakoyo Ujana maji ya moto, walishasema wahenga Sura huipa mvuto, ukaishi kwa kuringa Ujana kwelini moto, uakao bila kinga Ujana kama ukungu, huyeyuka liwakapo   Ujana uingiapo, inda…

BURIANI KEN WALIBORA

NA HUSSEIN M KASSIM Kama ni machozi, basi yanitoka kapakapa Kama ni jitimai, sonono haliniishi Mawazo na fikra? Ni mkururo baada ya mwingine.   Tanzia ya kifo chake baba Kennedy…

TWA TWA TWA

Na Hussein Kassim Husni Kazini ndicho kigezo, kuongeza mishahara Mabosi wana uwezo, kufanya twa kila mara Wanatiliwa vikwazo, walio kwenye ajira Twa twa twa ndio mchezo, twa hakika inakera  …

KABLA SIJAOA

Kabla sijaoa, nitataka kuwa na hakika kuwa anafaa kweli. Nitataka kudadisi hulka zake kwa upana. Nimpitue, halafu nimweke sawa. Nimkunje, kisha nimkunjue. Nimvae, kisha nimvue. Nimwangushe, kisha nimwinue. Nimtege, halafu…

KENYA KUONGOZA KWA SAMPULI ZA SARATANI

Ifikapo mwaka 2030, Kenya itakuwa imepiga hatua nyingi za maendeleo. Miongoni mwazo ni miundo mbinu ya kisasa kama vile reli za umeme, majumba ya kifahari na barabara kuu zenye hadhi.…

ULEMAVU WA MOYO

Na Hussein Kassim “Usimfanyie masihara kwa huo upofu wake! Haipendezi…” maneno yalimtoka Latifa Baridi ambaye alielekea kuchoshwa na kuchushwa na kasumba ya Ali Baya. Rafiki yake wa dhati.  Yapata ni…